Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo aliandikisha historia katika mchezo wake wa 600 wa ligi kwa kufunga bao la 20 katika Serie A msimu huu walipoishinda Spezia 3-0 uwanjani Allianz.

Mabao yote matatu yalifungwa katika kipindi cha pili huku Ronaldo akilifunga goli la tatu alipotumia vyema fursa ya kupewa pasi katika dakika ya mwisho.

 

ronaldo, Ronaldo Atupia  Wavuni 20 Serie A., Meridianbet

Alvaro Morata alikuwa amefunga bao la kwanza kutumia krosi ya mwenzake Federico Bernardeschi kabla ya Federico Chiesa kufunga goli la pili.

Ushindi huo sasa umeisongesha Juventus hadi alama tatu chini ya nambari mbili AC Milan katika Jedwali la Serie A .

Bao la Ronaldo sasa linamaanisha anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga takriban mabao 20 katika kila vipindi 12 vya ligi tano kubwa za bara ulaya.


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

ronaldo, Ronaldo Atupia  Wavuni 20 Serie A., Meridianbet

  CHEZA HAPA

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa