Rais wa TFF, Warrace Karia amesema: “Kuna taarifa itatolewa, hiyo ndiyo itaeleza kila kitu juu ya mechi hiyo kusogezwa mbele hadi kuahirishwa, lakini sasa hata mimi sijui nini kilitokea.”

Kuhusu pesa za kiingilio za mashabiki, Bosi huyo wa TFF amesema ziko salama na hakuna atakayedhulumiwa.
“Pesa haziko TFF ziko Serikalini, kwa kuwa zinakusanywa kwenye mfumo wa Serikali wa N Card, huko ziliko ziko kwenye mikono salama katika mfumo wa Kielektroniki.
“Kila aliyelipia kiingilio chake hatadhurumiwa kwa kuwa mfumo wa N Card unarekodi.” Amesema Karia.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.



Sania mapua
Warudishe tu wasilete ubabaifu
Saupha
Wamezingua sana
aisha
🤣🤣🤣 baada ya kuwachachafya
Elika
Kwanza wametukwaza
Sarah
Itakuwa vizuri
Adelta
Hapo kazi ipo ngoja tusubiri tuone kama kweli 🙄🙄
Johnmary jo
Kwakweli warudishe hera za mashabiki
Lydia Emmanuel Magoti
Wamezinguwa sana
Amiri Kayera
Ndo tunasubir pesa zet