Klabu ya Manchester United inajiandaa kumpa mkataba ambao utakuwa na mshahara mnono mshambuliaji wao Edinson Cavani.
Cavani alikuwa anajiandaa kuondoka ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu.
Kutokana na kiwango cha nyota huyo kuzidi kuimarika kimewafanya Manchester United wafikirie kumpa kandarasi mpya nyota huyo.
Taarifa zinasema kuwa mabosi wa Manchester United wanahitaji kumpa dili la pauni milioni 250,000 sawa na shilingi milioni 810.
Alijiunga na Manchester United akitokea kikosi cha PSG ya Ufaransa msimu huu. Jana wakati timu yake ikishinda mabao 3-1 dhidi ya Aston Villa alitupia pia bao moja.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Bonge la dili
Safi sana kijana
Dili nono
Edinson Cavani yuko vizuri hongera yake
Hongera sanaa
Pongezi zake
Yupo kweny kiwango cha juu sana