Bado mbio za ubingwa wa LaLiga msimu huu zinasuasua, ni Atletico Madrid, Barcelona au Real Madrid atakayeibuka kidedea?

Wikiendi hii pengine tungepata picha halisi ya mbabe wa msimu huu kunako Ligi Soka nchini Hispania – LaLiga. Baada ya dakika 90, mambo yalikuwa tofauti.

Barcelona na Atletico Madrid walimaliza mchezo kwa matokeo ya sare, hii ilikuwa nafasi ya Real Madrid kukwea kileleni kwenye mchezo dhidi ya Sevilla. Vijana wa Zidane wanakwama wapi?

Real Madrid, Real Madrid, Ubingwa wa LaLiga Bado Pagumu., Meridianbet

Vijana wa Santiago Bernabeu wamejikuta wakilazimika kumaliza mchezo kwa matokeo ya 2-2 na hivyo kuendelea kujiweka kwenye mazingira magumu ya kutetea ubingwa wao wa LaLiga msimu huu.

Matokeo hayo, yanaendelea kumuweka Atletico Madrid kileleni akiwa na alama 77 huku Barcelona na Madrid wakiwa na alama 75 katika nafasi ya 2 na 3.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Real Madrid, Real Madrid, Ubingwa wa LaLiga Bado Pagumu., Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa