Kulingana na jarida la The Sun, Klabu ya Tottenham iko tayari kumruhusu beki wa kati Toby Alderweireld kuondoka katika klabu hiyo kuelekea Ubelgiji au Uholanzi ikiwa anataka.

Mbelgiji huyo yupo katika miaka ya mwisho za taaluma yake na angependelea kuwa karibu na nyumbani kulingana na vyanzo vyake vya karibu.
Lakini, Tottenham wanataka pauni milioni 25 ($ 35m / € 29m) kwa beki huyo, ambayo inaweza kuwa kubwa sana kukubaliwa kwa timu za Uholanzi au Ubelgiji.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!

