Copa America, Brazil vs Peru Nusu Fainali

Michezo ya robo fainali ya Copa America imehitimishwa. Brazil kuchuana na Peru baada ya kushinda michezo yao.

Brazil alikuwa akimenyana na Chile katika mchezo uliokua na burudani lukuki. Lucas Paqueta akitokea benchi, aliipatia Brazil goli pekee na la ushindi kwenye mchezo huo kabla ya Gabriel Jesus kuoneshwa kadi nyekundu.

Miguel Trauco

Peru wanafuzu hatua ya nusu fainali baada ya kuwafunga Paraguay kwa mikwaju ya penati. Matokeo ya 3-3 baada ya dakika 90 hayakutosha kuamua bingwa wa mchezo huu mpaka pale mikwaju ya penati ilipotumika. Paraguay walikosa penati 3 kabla ya Miguel Trauco kupachika penati ya ushindi kwa Peru.

Mchezo wa Brazil vs Peru ni marudiao ya fainali ya Copa America 2019 ambapo Brazil walishinda 3-1, wataweza kurudia tena mwaka huu?


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.