Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Copa America kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1993 baada ya kuiadhibu Brazil 1-0 katika mchezo wa fainali.

Argentina walikuwa wa kwanza kupata goli katika kipindi cha kwanza kupitia kwa Di Maria baada ya safu ya ulinzi ya Brazil kufanya uzembe.
Richarlison alikuwa alikuwa na nafasi ya kusawazisha dakika ya 52 alipokimbia mpira kutoka kwa Lucas Paquetá na akapiga shuti lakini Martinez aliendeleza ubora wa kulinda lango la Argentina katika mashindano hayo.
Ushindi huu unamfanya Messi kunyanyua taji la kwanza kubwa katika fainali tano za mechi za kimataifa ambazo ametumikia taifa lake akiwa amefunga magoli 4 katika mashindano hayo sawa na mshambuliaji wa Colombia, Luis Diaz.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!


Ernest
Messi sasa ametimiza jambo moja dhidi ya Taifa lake sio mbaya sana