Ukiangalia Simba wanaonekana kuwa na kikosi kipana hivyo kuwapa Asilimia kubwa sana ya kushinda katika hii mechi, Lakini kitamaduni mechi ya Simba na Yanga ni Zaidi ya Mpira uwanjani, Ngoja tuone.

Jibu