Mshambuliaji, Harry Kane amethibitisha kuwa ataendelea kusalia katika klabu ya Tottenham msimu huu wa joto baada ya mchakato wa kuhamia Manchester City kushindikana.

Harry Kane amebakiza mkataba wa miaka mitatu kwenye mkataba wake wa sasa na Spurs, na alicheza akitokea benchi katika ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wolves katika mechi yake ya kwanza tangu kurudi kutoka pre-season.
Mshambuliaji huyo amedhibitisha katika mtandao wake wa twitter kwamba atasalia katika msimu huu wa joto:
“Nilishangazwa sana na kuona mapokezi kutoka kwa mashabiki wa Spurs Jumapili na kusoma ujumbe mbalimbali wa kunisapoti katika wiki chache zilizopita. 👏⚽
“Nitabaki Tottenham msimu huu wa joto na nitazingatia kwa 100% kusaidia timu kupata mafanikio. # COYS.” Aliongeza Kane.
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.



Issa
Ni poa