Hatimaye droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya UEFA imefanyika na kuvuta hisia mbalimbali za mashabi wa soka kutokana na timu zilivyokutana.
Kundi B linatajwa kuwa kundi gumu ‘Kundi la Kifo’ kutokana na timu zilizopo katika kundi hilo zikijumuisha Atletico Madrid, Liverpool, Porto, AC Milan.
Mashindano ya Ligi ya Mabingwa UEFA msimu wa 2021/22 yanatarajiwa kuanza mnamo tarehe 14 na 15 mwezi wa ujao katika hatua ya makundi.
Group A – Manchester City, PSG, RB Leipzig, Brugge.
Group B – Atletico Madrid, Liverpool, Porto, AC Milan.
Group C – Sporting CP, Borussia Dortmund, Ajax, Besiktas.
Group D – Inter Milan, Real Madrid, Shakhtaer Donestik, Sheriff.
Group E – Bayern Munich, Barcelona, Benfica, Kyiv.
Group F – Villareal, Manchester United, Atalanta, Young Boys.
Group G – Lille, Sevilla, Salzburg, Wolfsburg.
Group H – Chelsea, Juventus, Zenit, Malmo.

Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.


