Taarifa kutoka katika vyanzo vilivyothibitishwa, Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo ameomba kuachana na klabu hiyo huku akitaka kuuzwa katika majira haya ya kiangazi.

Juventus wanasubiri ofa rasmi kutoka katika klabu ya Manchester City, huku ikitarajiwa kufika saa chache zijazo wtaafikia makubaliano haraka iwezekanavyo.
Taarifa pia zinasema, Wakala wa Ronaldo, Jorge Mendes anafanya kazi moja kwa moja na bodi ya Man City kukamilisha makubaliano ya sheria / mkataba wa kibinafsi wa Ronaldo.
Manchester City pia inataka kuuza baadhi ya wachezaji ili kupata ada ya kumsajili Cristiano, Juventus wanataka € 28 / 30m. Raheem Sterling anaweza kuondoka Man City ikiwa dau wanalolitaka likifikiwa.
Mshambuliaji, Gabriel Jesus atabaki Manchester City, Meneja Pep Guardiola anataka kusalia na mshambuliaji huyo katika msimu huu wa joto.
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.



Sarah
Diih