FIFA imetangaza viwango vipya vya timu za taifa za wanaume Duniani baada ya raundi ya hivi karibuni ya kufuzu Kombe la Dunia.
Wakati Ubelgiji na Brazil zikiendelea kushikilia nafasi ya kwanza na ya pili, habari kubwa ni kwamba England imeiondoa ufaransa na kupanda hadi nafasi ya tatu.
Ureno na Uhispania zimebadilishana nafasi katika nafasi hizo zilizotangazwa na FIFA, huku Denmark ikiingia kwenye 10 bora.
Timu iliyopanda kwa nafasi nyingi ni Libya ambao wamepanda kwa nafasi 12.

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


