Mshindi wa Formula One Sebastian Vettel anataraji kurejea tena kwenye mashindano ya Formula one akiwa na kampuni ya Aston martin
Stroll, ambaye amekuwa na timu tangu mwaka 2019 na amemaliza nafasi za juu katika mashindano kwa ,misimu 14 . Alinukiliwa akisema “natimiza miaka 6 kwenye Formula One na nafurahi kufanya kazi na Vettel na natumaini tutafanya kazi tena 2022.”

“Nataraji kuanza msimu mpya na kizazi kipya na gari mpya ndani ya Formula One.”Wanaonekana tofauti na mbinu mpya na sheria mpya , utakuwa msimu mzuri kwa madereva na mashabiki pia. Alisema SebastianVettel
Sebastian Vettel mshindi mara 4 wa Formula One anamaliza msimu wake wa kwanza akiwa na Aston Martin baada ya kutumia misimu sita akiwa na Ferrari. Amemaliza ndani ya nafasi tatu za juu katika msimu huu ukijumlisha mashindano yaliofanyika Azerbaijan akishika nafasi ya 2.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


