Kocha Pep Guardiola ametimiza mechi 300 tangu aanze kuifundisha Manchester City mwaka 2016.

Pep Guardiola (50) ameiongoza City kufunga jumla ya mabao 731 na kushindwa mechi 219 huku wakitwaa makombe 10 .
▪️ 731 Magoli ⚽️
▪️ 219 Ushindi ✅
▪️ Sare 36 🤝
▪️ Kufungwa 45 ❌
▪️ 10 Makombe 🏆
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


