Biashara, Azam Zafuzu Raundi ya Pili Mashindano CAF.

Klabu ya Biashara United imefanikiwa kufuzu raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho (Caf Confederation Cup) baada ya kuwatoa Dikhil FC ya Djibouti kwa jumla ya magoli matatu kwa bila (3-0) na sasa Biashara itacheza na Ahli Tripoli ya Libya au Hay Al Ward ya Sudan katika raundi ya kwanza.

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kufuzu raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Afrika (Caf Confederation Cup) baada ya kuwatoa Horseed FC ya Somalia kwa jumla ya magoli manne kwa moja (4-1) na sasa Azam FC itacheza na klabu ya Pyramids FC ya Misri raundi ya kwanza.

Klabu ya Yanga Leo kuanzia majira ya saa 12:00 jioni itacheza mchezo wa mkondo wa pili wa klabu bingwa Afrika (Caf Champion League) dhidi ya Rivers United ya Nigeria katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliochezwa jijini Dar, Yanga ilifungwa goli moja kwa bila (1-0) iwapo Yanga itaitoa Rivers itacheza na Al Hilal ya Sudan au Fasil Kenema SC ya Ethiopia.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.