Arteta, Ronaldo Watwaa Tuzo Mwezi September.

 

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta ameshinda tuzo ya kocha Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu nchini England, baada ya kuiongoza Gunners kushinda mechi zote tatu za mwezi huo.

Arteta anachukua tuzo hii kwa mara ya kwanza, akiwashinda Pep Guardiola, Jurgen Klopp, Graham Potter na Dean Smith waliokuwepo kwenye kinyang’anyiro hicho.

 

Wakati huo Mshambuliaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya England – EPL.

🏟 Mechi: 3
⚽ Magoli: 3


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.