Jose Mourinho amesema kwamba anataka kuleta mataji katika klabu ya Roma kitu ambacho kinaleta msukumo ndani ya klabu na wachezaji.

Mourinho alirejea Italia baada ya kufungishwa virago na matajiri wa London klabu ya Tottenham kufutia timu kufanya vibaya kunako EPL na michuano mingine.

Kwa sasa Roma ya Mourinho imekaa katika nafasi ya nne alama sita nyuma ya viongozi Napoli baada ya kucheza mechi saba za Serie A msimu huu.

Roma haijahind a mataji tangu mwaka 2001 kitu ambacho Mourinho nataka kukibadilisha sasa mashabiki wa klabu hiyo waanze kufurahia.

“Ningependa kuipa Roma mataji sababu klabu inaishi kwa mataji na mashabiki na wachezaji hupata nguvu kwa kutwaa mataji,” kocha wa zamani wa Chelsea, Real Madrid, Manchester United,Inter na Tottenham aliiambia jarida la Esquire.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa