Voller - Wirtz Hauzwi, Ogopa Matapeli.

 

Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Bayer Leverkusen, Rudi Voller ameweka wazi kwamba kiungo wao kinda Florian Wirtz hauzwi katika majira ya kiangazi kama tetesi nyingi zinavosema.

 

Klabu kadhaa zimekuwa zikihusishwa na usajili wa mchezaji huyo, Bayern Munich, Chelsea na Paris Saint Germain zote zimekuwa zikifwatilia maendeleo yake lakini Voller ameweka wazi kinda huyo ataendelea kukua Bay Arena.

“Hakuna yeyote anayepaswa kuuliza. Florian yupo katika mikono salama na sisi,” Voller aliiambia Bild.”Ukiwaondoa Bayern, kutakuwa na maumivu kwa vilabu vyote vya Bundesliga. Ukiwa na Florian Wirtz, maswali hayo hayaibuki.

“Bado kijana wa miaka 18. Hata baada ya miaka mitatu, atakuwa na 21. Nina uhakika ataendelea kucheza nasi msimu wa 2022/2023.” aliongoza.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.