Mechi za Atletico na Real Madrid Zahairishwa

Real Madrid na Atletico Madrid waliiomba LaLiga kusogezwa mbele mechi zao siku ya Jumapili Oktoba 17 kutokana na kukosekana kwa wachezaji wengi ambao walikuwa kwenye majukumu na timu za taifa, ambapo Atletico ilipangwa kucheza dhidi ya Granada wakati Real Madrid wange kabiliana na Athletic Bilbao.

Mataifa yote 10 ya Amerika ya Kusini yalikuwa viwanjani kucheza mechi za raundi ya tatu na mwisho katika kutafuta tiketi ya kucheza kombe la Dunia 2022 ambazo zilimalizika siku ya Ijumaa hii inaaminsha kukosekana kwa wachezaji wengi wanaotoka Amerika ya Kusini.

Real Madrid imewakosa wachezaji kama Vinicius na Eder Militao waBrazili ingawa Militao amepata jeraha na asingeweza kucheza kivyovyote vilevile Fede Valverde wa Uruguay ambaye alicheza dhidi ya Brazil.

Atletico Madrid iliwakosa wachezaji wake Rodrigo de Paul, Angel Correa na Luis  Suarez ambao walikuwa kuziwakilisha timu  za mataifa yao.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.