Arsenal Yaongeza Ofa yao Kumsajili Kiungo Moises Caicedo

Arsenal wameongeza ofa iliyoboreshwa ya kumnunua kiungo wa Brighton Moises Caicedo yenye thamani ya hadi paundi milioni 70 kukataliwa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

Moises Caicedo

Wakiwa wamefeli na ofa yao ya awali ya paundi milioni 60 siku ya Ijumaa, The Gunners kisha wakaweka mezani ofa mpya yenye thamani ya paundi milioni 65 pamoja na nyongeza ya paundi milioni 5.

Kabla ya ofa hiyo mpya, Brighton walikuwa wakisisitiza hawataki kumuuza mchezaji huyo na msimamo wao haujabadilika. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Sportsmail walikuwa wa kwanza kufichua Ijumaa kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa na hamu ya kulazimisha kuhamia Arsenal au Chelsea.

Na Ijumaa usiku aliingia kwenye mitandao ya kijamii akiwasihi Brighton wamruhusu aondoke, kisha Jumamosi hakufika mazoezini, ingawa Brighton walisisitiza huo ulikuwa uamuzi wao. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Kocha wa Brighton Roberto De Zerbi alisema Brighton wako tayari kusonga mbele bila Caicedo, ambaye aliachwa nje ya kikosi chao kitakachomenyana na Liverpool Jumapili na hajafanya mazoezi tangu atoe taarifa ya kuwataka Brighton kumwachilia.

“Ningependa amalize msimu na sisi lakini tuko tayari kusonga mbele bila yeye,” De Zerbi alisema kufuatia ushindi wao wa Kombe la FA dhidi ya Reds.

“Naweza kumuelewa kwa sababu unapokuwa na umri wa miaka 21, na unapokea ombi la timu kubwa kubwa inayocheza Ulaya. Ninaweza kuelewa Caicedo ni mtu mzuri sana.

“Nilishangazwa (na kauli yake) lakini naweza kuelewa ilianzia wapi. Sijui kama unaelewa, lakini Moises ni mtu mzuri,” De Zerbi aliongeza kabla ya kudokeza kwamba Caicedo alikuwa ameshawishiwa na wale walio karibu naye.

Arsenal wanataka kuongeza kiungo mwingine mwezi huu kufuatia kuumia kwa Mohamed Elneny. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Hata hivyo, inaeleweka kuwa watafikiria kuachana na dili la Caicedo sasa ofa hii iliyoboreshwa ikishindikana.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.