Chelsea inaripotiwa kujiandaa kufanya jaribio jingine la kumsajili kiungo wa Argentina aliyeshinda Kombe la Dunia Enzo Fernandez katika dirisha la usajili la Januari. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

Enzo Fernandez

Wakiwa wamefeli katika juhudi zao za kumpata nyota huyo wa Benfica mapema mwezi huu wakati ombi lao halikidhi mahitaji ya Benfica, imeripotiwa nchini Ureno kwamba Chelsea itarejea tena kumnasa kiungo huyo.

Kwa mujibu wa Record, klabu hiyo ya magharibi mwa London haijakata tamaa ya kumpata mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 na inapanga kufanya uhamisho mwingine kabla ya dirisha kufungwa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Inaelezwa kuwa waliohusika na masuala ya Chelsea katika soko la usajili bado hawajakata tamaa ya kumsajili Enzo Fernandez na watajaribu kufanya mazungumzo tena.

Chelsea iliona dau la thamani ya paundi milioni £112 na zaidi ya £6m ya kifungu chake cha kuuzwa – limekataliwa kwani ilipangwa kulipwa kwa awamu tatu za jumla ya pauni milioni 37.3 kila moja kwa miaka mitatu. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Hata hivyo, Benfica walikuwa na msimamo wao kwamba ofa ya Chelsea haikuwafaa, licha ya majaribio ya hadharani ya Enzo Fernandez kuondoka katika klabu hiyo ya Ureno.

Benfica wenyewe walitoa taarifa mwishoni mwa Disemba wakisisitiza kwamba Fernandez atasalia nao hadi mwisho mwa msimu wa 2022-23. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

“SL Benfica inafafanua kwamba hakuna wakati Rais wa Klabu, Rui Costa, alitamka maneno ambayo yanasambazwa nchini Italia na DAZN,” klabu hiyo ilisema.

 

Rui Costa

“Sport Lisboa e Benfica inasisitiza nia yake ya kumtegemea mchezaji Enzo Fernandez hadi mwisho wa msimu.”

Wakati huo huo, baada ya kiungo huyo kurudi nyumbani Argentina kushiriki Mwaka Mpya na familia na marafiki, aliondolewa kwenye ziara ya Portimonense wikendi ya pili ya mwezi. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa