Klabu ya Ajax ya nchini Uholanzi imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Eredivise hapo jana baada ya kupata ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Heerenveen kwenye uwanja wa nyumbani.

 

ajax, Ajax Watwaa Ubingwa wa Eredivisie., Meridianbet

Magoli ya Nicolas Tagliafico, Steven Berghuis na Sebastien Haller walihakikisha wanadidimiza ndoto za wapinzani wao PSV waliokuwa wanawakaribia kwa tofauti ya alama 4.

Ajax wanatwaa ubingwa wa sita chini ya kocha Erik ten Hag, wakati ni ubingwa wa 36 kwa miamba hiyo ya Uholanzi wakijihakikishia nafasi ya kurejea Ligi ya mabingwa msimu ujao.

Hii inakua mechi ya mwisho kwa kocha Erik ten Hag katika uwanja wa nyumbani akiwa na Ajax kabla ya kujiunga na Manchester United mwishoni mwa msimu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa