Klabu ya Chelsea imepata pigo baada ya kiungo wake Mateo Kovacic kuumia katika mchezo dhidi ya Leeds United baada ya kuchezewa madhambi na winga Daniel James.

 

chelsea, Chelsea Yapata Pigo kwa Kovacic., Meridianbet

Dakika ya 24 Daniel James alipewa kadi nyekundu baada kucheza faulo mbaya dhidi ya Kovacic, baada ya matibabu mchezaji huyo lakini ilipofika dakika ya 30 alishindwa kuendelea na mchezo na kutolewa nafasi yake ikichukuliwa na Ruben Loftus-Cheek.

Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema inahitajika miujiza ili mchezaji huyo kucheza katika mchezo ujao wa fainali ya Carabao Cup dhidi ya Liverpool kutokana na aina ya jeraha alilopata.

“Ninaamini itakuwa vigumu kucheza [wikiendi]” alisema Tuchel, “Endapo atakosa nitahuzunika kwasababu ni mchezaji muhimu, umeona ubora wao wakiwa na Jorginho katikati ya uwanja, Tutaona itakavyokuwa, labda kutakuwa na miujiza.” aliongeza.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa