Klopp Chupuchupu Kwenye Rekodi za Pep.


Kikosi cha kocha Jurgen Klopp kilifanikiwa kupata jumla ya alama 99, moja zaidi kuliko zile walizojizolea katika msimu wa 1978-79.

Mabingwa Liverpool walikamilisha kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa idadi kubwa zaidi ya alama katika historia yao ya kushiriki kivumbi hicho baada ya kutoka nyuma na kuwazamisha Newcastle United 3-1 uwanjani St James’ Park siku ya Jumapili.

 

Klopp Chupuchupu Kwenye Rekodi za Pep.

Liverpool ya Klopp iliweka pengo la alama 18 kati yao na nambari mbili Manchester City waliowaponda Norwich City 5-0 katika mchuano wao wa mwisho wa msimu huu uwanjani Etihad.

Liverpool ambao walijizolea alama 97 mnamo 2018-19, walifikia pia rekodi ya Man-City ambao hadi mwanzoni mwa msimu wa 2019-20, walikuwa wakijivunia kushinda idadi kubwa zaidi ya mechi katika msimu mmoja; yaani 32 katika msimu wa 2017-18 na 2018-19.

Hata hivyo, Liverpool walishindwa kufikia rekodi ya Man-City ambao walikamilisha msimu wa 2017-18 wakijivunia pengo la alama 19 kati yao na nambari mbili Machester United.

Man-City walifunga kampeni zao za msimu huo kwa alama 100, mbili kuliko za muhula wa 2018-19.

 

Klopp Chupuchupu Kwenye Rekodi za Pep.

Nyota Dwight Gayle aliwaweka Newcastle kifua mbele baada ya dakika 25 pekee za ufunguzi wa kipindi cha kwanza baada ya kukamilisha kwa ustadi mpira wa ikabu uliochanjwa na Jonjo Shelvey.

Vijana wa Klopp walianza mechi hiyo kwa kuwaweka benchi wavamizi wao watatu wakuu yaani Mohamed Salah, Sadio Mane na Robert Firmino; walisawazishiwa na beki Virgil van Dijk aliyefunga kwa kichwa kunako dakika ya 38.

Divock Origi aliwaweka Liverpool kifua mbele kunako dakika ya 59 baada ya kushirikiana vilivyo na beki Andrew Robertson kisha Mane akazamisha kabisa chombo cha wenyeji wao mwishoni mwa kipindi cha pili.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

 

50 Komentara

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    asanteni #meridianbettz kwa taarifa

    Jibu

    Kwa kupata alama 99 pia siyo mbaya

    Jibu

    Duuh!!!kweli kaponea chupu chupu#meridianbettz

    Jibu

    Duh ilikuwa hatar

    Jibu

    Makal nzur

    Jibu

    kajitaidi kiasi chake

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri
    @ meridianbettz

    Jibu

    Kwakweli waliponea chupu chupu klopp alikuwa mguu njee mguu ndani

    Jibu

    Hongera sana klopp wewe ni fundi na pia ni bingwa kwa kupata alama 99 na pia wanatakiwa makocha wengine waige kutoka kwako

    Jibu

    Kama Liverpool wangevuka alama 100 msimu huu ingekuwa vizuri zaidi lakini sio mbaya wameshakata uhaba wa kombe la ligi baada ya muda mrefu ni jambo la kufurahia zaidi.

    Jibu

    Kwakweli kama Liverpool wangevuka kwa alama 100 kocha wao angetamba sana heri tu wamekosa mana ingekuwa hatari

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Kwa kweli liverpool naikubali sana.

    Jibu

    Liverpool Yuko vizuri

    Jibu

    Kloop hafai

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Liverpool wako vizuri

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Wamejitahidi sana, japo haeakupata alama 100

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Taarifa imeeleweka

    Jibu

    Makala nzurii

    Jibu

    Kafanya vizuri kiasi chake

    Jibu

    Liverpool imekuwa na msimu mzuri, tulitarajia itavunja record ya kufikisha zaidi ya point 100#meridianbettz

    Jibu

    Namkubali Sana klopp

    Jibu

    Sio alama mbaya xana,wamepambana!!!

    Jibu

    Duh noma sana hiiii

    Jibu

    Mechi za mwisho wamefungw San Liverpool

    Jibu

    Kloop yuko vizuri.

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa njema

    Jibu

    Bonge y makalay

    Jibu

    Maoni:makala nzuri

    Jibu

    Klopp ni kocha mzuri Sana

    Jibu

    Taarifa nzuri hiyo

    Jibu

    sio mbaya sana

    Jibu

    Clopp anajitahidi sana#Meridianbettz

    Jibu

    Klop hakuna anayempinga ni kocha bora sana ulimwenguni kote kwa rekodi zake.

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Duu hatar kweli na ndio ilikua kusudio la klopp kuvunja rekodi ya pep ya kufikisha point 100 na timu ilimvulugia rekod yake arsenal

    Jibu

    Asante Meridian kwa Makala safi

    Jibu

    Ana nafasi nzuri

    Jibu

    Hii liver wamevunja rekodi kwao hawajawahi kufikisha alama hiyo

    Jibu

    Makal nzr

    Jibu

    Good

    Jibu

    Bado atazifikia na atazipita sababu bado timu yake ipo vizuri sanaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.