Mbabe wa masumbwi Floyd Mayweather Jr amekutana na kisiki asichokitarajia cha Logan Paul katika pambano la ndondi la kujiburudisha lililomalizika bila kupatikana mshindi.

Paul, ambaye ni maarufu kwenye mtandao wa YouTube ameonyesha upinzani mkali katika pambano hilo la raundi nane dhidi ya Mayweather ambaye hajawahi kupoteza mchezo wowote kati ya michezo yake 50 ya ndondi aliyopigana.

 

mayweather, Mayweather, Logan Paul Hakuna Mbabe., Meridianbet

Kabla ya pambano hilo, Mayweather na Paul walieleza kwamba wanataka kutoa burudani ya kweli kwa wote wataotazama.

Utofauti wa uzoefu na uwezo katika masumbwi kati ya Mayweather na Paul, uliwafanya wengi kuamini kwamba Paul angegaragazwa mapema tu kwa Knock out, lakini Paul alioyesha kwamba si mshawishi tu bali hata kwenye ulingo wa masumbwi.

Floyd ambaye kama angetumia nguvu zake na uwezo wake wa kawaida basi angemshinda kirahisi Paul mapema tu, lakini alimsukumia makonde ya kawaida mpinzani wake huyo.

Pambano hilo halikuwa la ushindani, lilikuwa la maonyesho na hakutangazwa mshindi kwa kuwa halikuwa na jaji.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa