BAADA ya kuachana na Yanga Kiungo Mghana Bernad Morrison anatajwa kuwa mbioni kuungana na Singida Fountain Gates FC kama mchezaji huru. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Akiwa ndani ya Yanga alimtungua Aishi Manula kwenye Kariakoo Dabi na hapo jina la mchetuaji likapatikana.
Uwezo wake ukwavutia mabosi wa Simba wakampa dili la miaka miwili akiwa huko alionyesha uwezo ikiwa ni kwenye mechi za kimataifa alizopewa nafasi.
Morrison 2021/22 akarejea kwa mara nyingine Yanga na sasa amepewa mkono wa asante akiwa ni mchezaji huru. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Ndani ya Yanga chini ya Nasreddie Nabi kwenye mechi za kimataifa alikuwa bora akitokea benchi alifanya hivyo dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini alipofunga bao katika mchezo huo.
Kwa sasa anatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia Singida Big Stars ambayo inaitwa Singida Fountain Gate akaungane na mshikaji wake Pascal Wawa beki wa mpira ambaye ni nahodha pia. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Wawa uwezo anaingia kwenye orodha ya mabeki wenye uwezo mkubwa wa kupiga pasi ndefu zinazofika kwenye maeneo husika ni moja ya marafiki wa Bernard Morrison. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.