Leo hii majira ya saa 9:00 mchana kutakuwa na mtanange wa Ngao ya Jamii katika dimba la Benjamin Mkapa kumtafuta mshindi wa 3 kati ya Simba dhidi ya Coastal Union.

Simba ilitolewa kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya Yanga kwa 1-0 siku ya Alhamisi mchezo ambao ulikuwa mzuri kuangalia lakini dakika ya 44 Maxi Nzengeli akaifungia Young African bao ambalo ndilo lililosalia mpaka mwisho wa kipyenga.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Na hivyo kuifanya Yanga chini ya kocha mkuu Miguel Gamondi kusonga mbele hatua ya fainali ambao watakuwa wageni wa Azam FC ambao wao walipata ushindi mnono hatua ya Nusu Fainali dhidi ya Coastal mchezo ambao ulipigwa kule Zanzibar.


