Yanga na Azam FC Nani Bingwa wa Ngao ya Jamii Leo?

Ile Jumapili iliyokuwa ikisubiriwa ni leo ambapo kutakuwa na fainali ya Ngao ya jamii kati ya Yanga dhidi ya Azam FC majira ya saa 1:00 usiku.

Yanga na Azam FC Nani Bingwa wa Ngao ya Jamii Leo?

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga ametinga fainali baada ya kumfunga Simba bao 1-0, wakati kwa upande wa Azam FC wao walimtoa Coastal kwa mabao 5-22 ule visiwani Zanzibar.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Gamondi na vijana wake wamesema kuwa mechi ya leo itakuwa ngumu akini wamejipanga kupata ushindi na wanajua kuwa Azam sio timu nyepesi watafanya kila wawezalo ili wachukue Ngao ya jamii.

Yanga na Azam FC Nani Bingwa wa Ngao ya Jamii Leo?

Yanga kwenye dirisha la usajili wamefanya ongezeko la wachezaji wachache kama vile, Boka, Abuya, Chama, Baleke na wengine, wakati Azam wao wamewasajili Blanco, Fuentes, Ever Meza na wengine kibao.

Mara ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye ligi na Young Africans alipoteza. Hivyo leo ataingia uwanjani kwenye ngao ya jamii akijua kuwa anahitaji ushindi kwa hali na mali ili apate kombe. Je ataweza mbele ya Wanalambalamba?.

Acha ujumbe