Singida BS Yafanya Maboresho ya Benchi la Ufundi, Watambulisha Meneja Mkuu

Uongozi wa klabu ya Singida Black Stars umetangaza rasmi kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi kwa lengo la kuimarisha utendaji wa timu hiyo katika mashindano mbalimbali.

Singida BS Yafanya Maboresho ya Benchi la Ufundi, Watambulisha Meneja MkuuKupitia taarifa yao, klabu hiyo imethibitisha kufikia makubaliano ya kumuajiri Papy Kimoto kuwa Meneja Mkuu wa Timu, pamoja na Kapiten Ngoyi Dora ambaye atahudumu kama Kocha Msaidizi, wote wakisaini mikataba ya mwaka mmoja na miezi mitatu.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Wakati huo huo, Muhibu Kanu ataendelea kubaki kwenye nafasi ya Kocha Mkuu hadi mwisho wa msimu huu, akitarajiwa kuongoza majukumu yote ya kiufundi kwa kushirikiana na benchi jipya la ufundi.

Singida BS Yafanya Maboresho ya Benchi la Ufundi, Watambulisha Meneja MkuuKwa mujibu wa uongozi wa klabu hiyo, mabadiliko hayo yanalenga kuleta ufanisi zaidi ndani ya kikosi, kuimarisha nidhamu ya wachezaji pamoja na kuongeza ushindani unaohitajika katika ligi.

Singida BS Yafanya Maboresho ya Benchi la Ufundi, Watambulisha Meneja Mkuu“Uongozi una imani kuwa muundo huu mpya utaimarisha utendaji wa timu, kuongeza nidhamu na kurejesha ushindani unaotarajiwa,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.