Yanga Ugenini Dhidi ya Pamba Jiji Siku ya Leo

Jumatano ya leo, Ligi kuu ya NBC itaendelea kwa michezo mwili na mchezo ambao utakuwa wa kusubiriwa kwa hamu ni ule wa Pamba Jiji dhidi ya Yanga utakakaopigwa majira ya saa 10:15 jioni kule CCM Kirumba.

Yanga Ugenini Dhidi ya Pamba Jiji Siku ya Leo

Hii ni mechi ya kuvutia kwa watazamaji kwani vijana wa Goncalves wanahitaji ushindi siku ya leo ili waendeleee kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi.

Mpaka sasa Yanga ana pointi 41 kwenye ligi baada ya kucheza mechi zake 17 huku wenyeji wao hadi sasa wanahsika nafasi ya 5 baada ya kukusanya pointi zao 26 hadi sasa.

Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Tofauti yao hadi sasa ni pointi 15 huku nafasi ya kushinda mechi hii pale Meridianbet akipewa Yanga kutokana na ubora wa kikosi ambacho anacho na uwezo anaozidi kuonesha kila siku.

Yanga Ugenini Dhidi ya Pamba Jiji Siku ya Leo

Takwimu zinaonesha kuwa kwenye mechi 3 za mwisho walizokutana, Pamba hajawahi kupata ushindi wowote  lakini pia sio ushindi tu, hata kufunga bado hajaweza mbele ya Diara.

Leo hii pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakisema kuwa nafasi ya wewe kuibuka bingwa kwenye mechi hii ni mkubwa sana hivyo ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.