Breaking News: Chama Dili Limekamilika, Atambulishwa Yanga

YAMETIMIA Bhana, Baada ya sarakasi nyingi za kuwania saini ya Mwamba wa Lusaka Clatous Chama, Yanga wameibuka na ushindi wa KO dhidi ya Simba kwa Kiungo wa Kizambia. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Asubuhi ya Leo Julai 1 mapema tu, Klabu ya Yanga imebadilisha upepo mitandaoni kwa kumtambulisha fundi wa Mpira Chama, ambaye habari zake ziligonga vichwa vya habari sana kwa wiki mbili sasa.

HALI ILIVYOKUWA HADI YA YANGA KUMCHUKUA CHAMA

Baada ya kurejea nchini akitokea kwao nchini Zambia Chama aliitwa na Bosi Dubai ambako alikwenda kwa mazungumzo baada ya kufika Dubai Chama aliongeza Dau kutoka pesa aliyokuwa anaitaka hapo mwanzo na kutaka apewe dolla 350 sana na zaidi ya milioni 800 ili asaini Simba.

Chama pia alihitaji mshahara wa zaidi ya milioni 40 kwa mwezi ili asalie ndani ya Simba Mo Dewji na kamati yake wakaona anafanya hivyo kwa sababu ya ofa ambayo ipo mezani kwake ya kutoka Yanga.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Ambapo tayari alikuwa amesaini mkataba wa awali hivyo kwa kiwango chake cha sasa hawawezi kumpa pesa hiyo anayohitaji kwa sasa kwa sababu haiendani na kiwango alichonacho kwa sasa hivyo wakamruhusu aende anakotaka kisha wakatakiana kila la kheri.

Leo Clatous Chama ametambulisha kujiunga na Yanga kwa Dolla 350 sawa na zaidi ya milioni 820 za Kitanzania huku atakuwa akilipwa mshahara wa kiasi cha milioni 35 kwa mwezi mmoja na kuwa mchezaji wa pili anayelipwa pesa nyingi katika timu hiyo baada ya Azizi Ki.

MOJA Kati ya mchezaji aliyegonga vichwa vya habari na habari yake kuwa ya moto sana kwa takribani wiki ya pili sasa Clatous Chama, mkataba wake na Simba ni rasmi uliiisha Juni 30. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa

Acha ujumbe