MUTALE AITAKA JEZI YA CHAMA SIMBA

KIFUPI Dili la Joshua Mutale, mshambuliaji raia wa Zambia la kutua Simba limekamilika na Kuna ukweli wa asilimia 90 kuwa yupo nchini Tanzania Kwa taratibu za kutangazwa.

Taarifa ya utofauti na yenye uhakika kutoka Kwa RAFIKi wa karibu na Mutale, ameliambia Meridian Sports kuwa kiungo huyo ameomba jezi namba 17 ambayo Kwa Sasa inavaliwa na Clatous Chama.mutaleMutale ameomba jezi hiyo Ili kurithi mikoba ya Chama ambaye inatajwa kuwa Maisha ndani ya Simba yamefikia mwisho.

“Mutale ameomba kupewa jezi namba 17 ambayo anavaa Chama. Amesema anajua jezi hiyo imefanya makubwa ndani ya Simba.

“Lakini ameomba pia kama uongozi utashindwa kumbakiza Chama klabuni, yeye yupo tayari kuziba pengo lake,” alisema.mutaleMeridian Sports ilifanya jitihada za kumtafuta Mutale Kwa njia ya simu, lakini muda mwingi simu yake ilikuwa ikitumika na ikafika wakati ikawa hapatikani kabisa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.