Mashujaa Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold

Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao utawakutanisha kati ya Mashujaa dhidi ya Geita Gold majira ya saa 10:00 jioni.

 

Mashujaa Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold

Mashujaa wamepanda ligi kuu msimu huu na walianza vyema mechi yao ya kwanza baada ya kuitandika Kagera Sugar mabao mawili kwa bila walipokuwa katika dimba lao la nyumbani.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Kwa upande wa Geita Gold wao pia walipata ushindi wa mechi yao iliyopita dhidi ya Ihefu wakiwa ugenini.

Mashujaa Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold

Wachimba Dhahabu na Mashujaa inaonekana ni mechi ya kusisimua hasa baada ya timu hizo zote mbili kuanza vizuri Ligi kuu kwa kupata pointi tatu.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe