Mtibwa Sugar Kukiwasha Dhidi ya Namungo Kesho

Timu ya Mtibwa Sugar watakiwasha dhidi ya Namungo hapo kesho katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro majira ya saa 10:00 kugombea pointi tatu katika mzunguko wa pili.

 

Mtibwa Sugar Kukiwasha Dhidi ya Namungo Kesho

Mtibwa ambao mpaka sasa wana mwenendo mzuri kwenye msimamo wa Ligi baada ya kucheza michezo yao 15 wakishinda mechi zao sita pekee, sare nne, na kupoteza michezo mitano, pointi zao 22 hadi sasa.

Wakati kwa upande wa Namungo wao walianza vizuri tu, lakini mambo yalianza kugeuka baada ya kutokuwa na mwendelezo wa ushindi  na kuwafanya wawe nafasi ya 9 hadi sasa, wameshinda mechi tano kati ya 15 sare tatu na kupoteza mara saba, pointi 18.

Mtibwa Sugar Kukiwasha Dhidi ya Namungo Kesho

Namungo wamepoteza mechi mbili mfululizo, ambapo mchezo wa kesho wa kesho watahitaji alama tatu kujiweka kwenye nafasi nzuri hadi kumalizika kwa ligi, lakini je wataweza mbele ya Mtibwa wanaoonekana kuwa wazuri?

 

 

Acha ujumbe