Mtibwa Sugar na Polisi Tanzania Nani Kuibuka Mbabe Leo

Katika mwendelezo wa Ligi kuu Tanzania Bara mechi nyingine ya kibabe ni ya Mtibwa Sugar ambae atakuwa kwake kukiwasha dhidi ya Polisi Tanzania ambao wote wametoka kushinda mechi zao za mwisho.

 

Mtibwa Sugar na Polisi Tanzania Nani Kuibuka Mbabe Leo

Mtibwa Sugar wao wapo nafasi ya 7 baada ya kucheza michezo 12, wameshinda michezo mitano peke yake huku wakitoa sare tatu, wamepoteza michezo minne na kuvuna alama 18 mpaka sasa.

Polisi Tanzania wao wapo nafasi mbaya ya 14, baada ya kucheza michezo 12, wameshinda michezo miwili pekee, sare tatu na kupoteza mara saba, alama 9 pekee ndizo ambazo wamekusanya mpaka sasa.

Polisi bado wana hali mbaya kwani ni nafasi mbili pekee kutoka kushuka daraja ambazo wamebakiza pointi moja tu kuwa na anayeshikilia mkia Ihefu ambaye ana pointi 8.

Mtibwa Sugar na Polisi Tanzania Nani Kuibuka Mbabe Leo

Mchezo wa leo ni muhimu kwa Polisi kwani unaweza ukamtoa nafasi aliyopo hadi nafasi ya 12. Lakini je ataweza kwani Mtibwa nao wanaonekana kuuhitaji mchezo huu waendelee kujiweka salama.

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

 

Acha ujumbe