Simba Queens imeondolewa kwenye michuano ya Klabu Bingwa hatua ya nusu fainali  kwa upande wa wanawake baada ya kufungwa kwa bao 1-0 na mabingwa watetezi Mamelodi Ladies katika dakika ya 75 ya mchezo.

 

Simba Queens Yaondolewa WCL

Nusu Fainali hiyo ilipigwa katika uwanja wa Prince Moulay Al Hassan majira ya saa 1:00 usiku huku Simba Queens wakiwa na nafasi kubwa ya kushinda mchezo huo kutokana na nafasi ambazo walizipata.

Licha ya kutolewa katika hatua ya nusu fainali vijana hao wameweka historia ambayo haijawahi kuwekwa na timu yoyote hapa Tanzania kwa pande zote wanaume na wanawake hivyo wanahitaji pongezi kwa hapo walipofikia.

Simba Queens Yaondolewa WCL

Kikosi hicho cha kocha Charles kitarejea nyumbani kujipanga na michezo ya Ligi inayotarajiwa kuanza hivi karibuni, lakini pia wajipange kwa michuano hiyo msimu ujao endapo watafanya vizuri.

Hivyo sasa Fainali hiyo ya Klabu bingwa kwa Wanawake itapigwa kati ya Mamelodi Ladies dhidi ya wenyeji AS FAR huku wote wakiwa hawajapoteza michezo yao.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa