Timu ya Wanawake ya Simba Queens ambayo ilikuwa inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa upande wa Wanawake na kutolewa hatua ya nusu fainali na mabingwa watetezi yashindwa kufurukuta hapo jana dhidi ya Bayesla Queens.

 

Simba Queens Yashindwa Kufurukuta Mbele ya Bayelsa Queens

Simba Queens baada ya kutolewa na Mamelodi, ikabidi wacheze kugombea mshindi wa tatu dhidi ya Bayelsa Queens ya Nigeria ambao nao walitolewa dhidi ya ASFAR ya Morocco katika hatua hiyo hiyo.

Bao hilo la kuiondosha Simba katika kumtafuta mshindi wa tatu lilifungwa katika kipindi cha pili dakika ya 70 na ndilo ambalo limeifanya timu hiyo kuaga mashindano hayo na kutarajia kurudi nyumbani kujipanga upya.

Simba Queens Yashindwa Kufurukuta Mbele ya Bayelsa Queens

Kwa ujumla Simba Queens wamevuna kitita cha Dola za kimarekani laki tatu ambazo ni zaidi ya Shilingi Milioni Mia sita za kitanzania, katika mashindano haya, huku kufika hatua ya nusu fainali zawadi ni Dola laki mbili na nafasi ya nne Dola laki moja.


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa