UONGOZI wa Simba SC leo nataka kusema nanyi jambo moja ambalo huenda hata mashabiki wa timu yenu huenda wanawaza watasema wapi ili sauti zao zisikike na kero iwafikie wahusika.

Kwakuwa natumia kalamu kuandika mawazo ya wengi, leo nataka kuteta nanyi, Barbara Gonzalez popote ulipo, Salim Abdallah, Mzee wangu Magori, Mwenyekiti wa Klabu Mzee wangu Murtaza Ally Mangungu, Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu MO Dewji, Mashabiki wanauliza ni Lini mtamleta Kocha wa Viungo siku zinakwenda, na Mashindano yanazidi kuongezeka. Odds kubwa za meridianbet.

 

Simba SC Leteni Kocha wa Viungo, Wachezaji Wataumia Mpaka Lini

Mmefuzu kucheza hatua ya Makundi CAFCL, kuna Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho la Azam FA, kuna Kombe la Mapinduzi kumkosa kocha wa viungo kutawafanya wachezaji kukosa utimamu wa mwili na kupata majeruhi kila kukicha. Tazama odds bomba na kubwa hapa

Mtazame Pape Osman Sakho amefunga goli na kisha kuumia hii inatokana na kukosa utimamu wa mwili, Mechi dhidi ya Singida BS The Wonder Kid Peter Banda alitokea sub na kusawazisha goli kabla ya kuumia. Shida hii mpaka lini Simba? Beti na meridianbet wana odds bomba.

 

Simba SC Leteni Kocha wa Viungo, Wachezaji Wataumia Mpaka Lini

Pia Agustine Okrah nae ametoka kwenye majeraha, kuna Shomari Kapombe, Israel Mwenda, karibia wachezaji wote wa kikosi cha kwanza wanapatwa na Majeruhi tatizo kubwa na kukosa utimamu wa mwili. Odds bomba zinapatika hapa.

Viongozi wa Simba tiba pekee ya hili ni kuhakikisha mnaleta mtaalamu wa viungo ili kuwaweka imara wanajeshi wenu kujiandaa na michuano mingi iliyo mbele yenu. Mkichelewa mtakuta Kuku kaliwa.

Mpenda Maendeleo ya Mpira Abubakar Kulindwa, Msijali mkitaka tuchange hela nitatoa ALFUTATU.


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

aviator

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa