Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amezungumiza mipango ya timu hiyo kwenye usajili wa mwezi Januari, ikiwa ni sehemu ya kuzidi kuimarisha kikosi chao. Odds kubwa za meridianbet.

 

Barcelona

Amesema kuwa “Tunafikiria kuboresha kikosi kama kawaidia, lakini haitakuwa rahisi kupata wachezaji imara mwezi Januari”

“Tutakuwa na tatizo la fedha kulingana na kanuni, ambapo hatupo tena kwenye Ligi ya Mabingwa”-Laporta

Kikosi cha Xavi kimeondoshwa kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA, na kuangukia kwenye Mashindano ya Europa NA tayari hatua ya 16 bora imekwisha kupangwa ambapo, Barcelona itakutana na Manchester United ya Eric Ten Hag. Tazama odds bomba na kubwa hapa.

 

Barcelona: Joan Laporta Ni Ngumu Kupata Mchezaji Mzuri Januari

Taarifa kutoka vyanzo vya habari nchini Hispania zinaeleza kuwa Barcelona wana mpango wa kumrudissha Lionel Messi ambaye anakipiga kwenye klabu ya Paris Saint-German. Beti na meridianbet wana odds bomba.


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

aviator

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa