Singida BS Kukipiga Dhidi ya Tabora United

Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja mbao utakuwa ni kati ya Singida BS dhidi ya Tabora United majira ya saa 10:00 jioni.

 

Singida BS Kukipiga Dhidi ya Tabora United

Mchezo huou utapigw akatika dimba la Liti huko Singida huku timu zote zikitafuta pointi tatu kwenye mchezo wao wa pili wa ligi huku mechi ya kwanza mwenyeji alipata sare na mgeni alipoteza.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Klabu hiyo ya Walima alizeti imetoka kuachana na kocha wao Hans na sasa timu inashikiliwa na kocha msaidizi Mathias Lule na watacheza mchezo huo wakiwa na kocha huyo leo.

Singida BS Kukipiga Dhidi ya Tabora United

Tabora United ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Azam baada ya kuwa wamecheza pungufu kwa kufungiwa usajili na baadae kufunguliwa lakini tayari walikuwa wako nje ya muda na hatimaye Azam kujipatia ushindi ndani ya dakika 45 tuu.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Leo hii kila timu inahitaji alama 3 ili ijiweke kwenye nafasi nzuri ya msimamo wa ligi kabla ya mechi hazijachanganya.

 

Acha ujumbe