Mwakisu Ataja Makosa Yaliyofanywa na Simba Uturuki

simba

Mchambuzi wa Soka nchini Musa Mwakisu amesema kwamba kiwango cha Simba kwa sasa kimeonekana kutoridhishwa kwa wengi kutokana na makosa yaliyofanywa na Kocha huko kambini kwao nchini Uturuki wakati wa Pre Season. Odds kubwa zpo Meridianbet pekee pakua app au bashiri kwa tovuti ujishindie maokoto.

Katika mahojiano yake na Meridian Sport Mwakisu alisema kwamba wachezaji wa Simba SC, hawana muunganiko mzuri kutokana na programu baadhi za mwalimu kutotimizwa kwa wakati.

“Ujue sio kwamba Simba wana wachezaji wabaya, ila tatizo naliona lilitokea kipindi timu ipo kambini Uturuki, Kocha Robertinho aliondoka kwenda kumalizia mafunzo yake ya ukocha na hivyo timu kumuachia msaidizi wake.

“Kuna Programu baadhi hazikufanyika kwa usahihi na wakati kwa sababu kocha mkuu hakuwepo, lakini naiona Simba ikipata muunganiko mzuri itakuwa hatari sana” Musa Mwakisu

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Simba katika dirisha la usajili msimu wa 2023/24 waliwasajili nyota wa Kimataifa kama Essomba Onana, Miquissone, Fabrice Ngoma, Aubin Kramo, Che Malone pamoja na mlinda mlango Ayoub Lakred.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Acha ujumbe