Klabu ya Arsenal imeingia kwenye mbio za kumsajili mlinda mlango wa Ajax Andre Onana msimu huu wa joto lakini watasubiri uamuzi katika rufaa yake ijayo dhidi ya marufuku ya kutumia dawa za kulevya kabla ya kumsajili.
Onana kwa sasa anatumikia kusimamishwa kwa miezi 12 aliyopewa na UEFA baada ya kupatikana kuwa na marufuku ya matumizi Furosemide katika sampuli yake ya mkojo.
Kwasasa amekata rufaa ya marufuku hiyo katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), rufaa hiyo itasikilizwa mapema Juni, na uamuzi utapewa baadaye mwezi huo.
Mawakili wa Onana wanaamini marufuku hiyo, ambayo kwa sasa inatakiwa kudumu hadi Februari 2022, inaweza kupunguzwa hadi miezi nane.
Ajax inataka kupokea karibu pauni milioni 12 ($ 16.7m) kwa mlinda mlango huyo msimu huu wa joto, ikiwa rufaa yake itafanikiwa.
Lakini, ikizingatiwa kuwa mkataba wake unamalizika mnamo 2022, inawezekana ofa ikapungua mpaka pauni milioni 7 ($ 9.7m) na kufanya biashara na Arsenal.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
Kipa mzuri Sana uyu
Huyu jama namkubali sana
Kipa anaweza sana
Kipa anayejua kazi yake
Habari njema
Kipa yuko imara sana
Habar njema
Habari nzuri
Yupo vizuri
Wapambane Sana
Itakua bomba.
Itapendeza wakimpata kipa huyo
Onana yupo vizuri
Onana kwa sasa anatumikia kusimamishwa kwa miezi 12 aliyopewa na UEFA baada ya kupatikana kuwa na marufuku ya matumizi Furosemide katika sampuli yake ya mkojo.