Bocco : Mchezo Mgumu, Ushindi ni Lazima.

Nahodha wa Simba SC, John Bocco amesema wachezaji wote waliosafari kuelekea nchini Botswana wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa hatua ya kwanza dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumapili.

 

Bocco ameyasema hayo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama jijini Gaborone akiwa tayari na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo huo wa mkondo wa kwanza.

Bocco ameweka wazi kuwa mchezo huo utakuwa mgumu kutokana na aina ya wapinzani tunaoenda kukutana nao lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.

Nahodha Bocco ameendelea kusema kuwa lengo letu ni kuhakikisha tunavuka hatua ya robo fainali ambayo tuliishia msimu uliopita ili kuendelea kuitangaza Simba kimataifa.

“Maandalizi yamekamilika, wachezaji wote tuliosafiri tupo kwenye hali nzuri, vichwani mwetu tunajua mchezo utakuwa mgumu na tumejiandaa kupambana lengo ni kuvuka hatua hii,” amesema.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.