Cavani Aomba Kuondoka United.


 

Mshambuliaji Edinson Cavani amewasilisha maombi ya kuondoka Manchester United na kujiunga na Boca Juniors lakini pia kuwa karibu na familia yake.

Fowadi wa Manchester United Edinson Cavani amewaambia maafisa wa klabu anataka kuondoka klabuni msimu huu wa joto ili ajiunge na Boca Juniors, kulingana na ripoti.

Cavani alijiunga na Old Trafford kwa uhamisho wa bure kutoka PSG mwanzoni mwa kampeni.

 

Fowadi huyo mkongwe amefunga mabao matatu katika michezo yake mitatu iliyopita na klabu hiyo ina hamu ya kuongeza mkataba wake hadi msimu ujao, lakini mchezaji mwenyewe ameweka wazi nia yake baada ya kufanya mazungumzo na maafisa, inaripotiwa na Argentina Depo.

Cavani aliiambia klabu hiyo kuwa anataka kurudi Amerika Kusini ili kuwa karibu na familia yake, ripoti hiyo inaongeza kuwa alisema kwamba atakataa timu kadhaa za Brazil zinazotafuta saini yake ili tu ajiunge na Boca juniors.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

CHEZA HAPA

7 Komentara

    Ni maamuzi mazuri kwake

    Jibu

    Aende tuuu anapotaka

    Jibu

    Ahende tuuu

    Jibu

    Aendee tuuu

    Jibu

    Cavani aende tu Wala hatustui

    Jibu

    Kula la kheri hilo aendako

    Jibu

    Aende tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.