Nahodha wa kikosi cha Tottenham, Harry Kane ana hatihati ya kukosekana kesho kwenye mchezo wa fainali ya Carabao Cup dhidi ya Manchester City.
Kane aliumia kifundo cha mguu Ijumaa iliyopita wakati timu yake ilipokuwa ikichuana dhidi ya Everton mchezo ambao ulikuwa ni wa mwisho kwa Jose Mourinho kabla ya kufukuzwa kwenye timu hiyo.

Nyota huyo mwenye miaka 27, alikosa mchezo kati ya timu yake ya Tottenham dhidi ya Southampton ambapo ilishinda mabao 2-1 kwenye Ligi kuu ya England kutokana na maumivu ya goti.
Taarifa zimeeleza kuwa Kane ambaye ni namba moja kwa utupiaji katika kikosi hicho ametupia jumla ya mabao 26 katika michuano yote alianza mazoezi na wenzake lakini hali ya kuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa kesho bado haijajulikana.
Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.



Adelta
Kane pole sana
aisha
Pole sana
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh pole yake
Magdalena
Sa itakuaje
Khadija
Pole yake
Issa
Kane again
Johnmary jo
Hoo pole sana#meridianbett#
warda
Pole yake