Ibrahimovic Awafunga Mdomo Wenye Mashaka Naye

Staa Zlatan Ibrahimovic amesema kwamba amewasahihisha wenye mashaka na yeye baada ya kudhihirisha umri ni namba tu kufuatia kusaini mkataba mpya huko Milan.

Nyota ya Ibrahimovic imeng’aa tangu alipojiunga tena na Milan kwa uhamisho huru akitokea  LA Galaxy mwaka 2019 starika huyo mkongwe amefunga mabao 15 katika michezo 17 ya Serie A msimu huu.

Mshambuliaji huyo wa miaka 39 sasa anamkataba na Rossoneri mpaka mwisho wa msimu 2021-22 na amefunga mabao 17 kwenye mashindano yote wakati pia amefunga mabao 28 katika michezo 45 katika awamu yake ya pili huko Milan.

“Nadhani itakuwa vizuri, hata kama kuna mtu ana mashaka na wewe,” Ibrahimovic aliiambia Milan TV. “Nimeonesha kuwa umri si chochote.

“Ni swala la akili yako, mara nyingi nimekuwa nikitaka kuimarikana kufanya vizuri kadri ya uwezo wangu.

Ibrahimovic aliisaidia Milan kutwaa Scudetto mwaka 2011 msimu wake wa kwanza na ameisadia kukaa katika nafasi ya pili msimu huu nyuma ya mahasimu wao wa jiji kwa tofauti ya alama 10.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Ibrahimovic mambo ni 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Kazi nzuli namkubali sana

    Jibu

    Yupo vizuri movic

    Jibu

    Yupo vizurii

    Jibu

    Kazi nzuri amefany

    Jibu

    Ibra mtu mbaya

    Jibu

    Kadabra

    Jibu

    Ibra yuko vizuri sana

    Jibu

    Namkubari sana ni mchezaji mzuri#
    Meridianbett #

    Jibu

    Huwa namkubali sana

    Jibu

Acha ujumbe