Ryan Glen Mason ni mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Klabu ya Tottenham Hotspur, alikuwa anacheza nafasi ya kiungo. 19 Aprili, 2021, Mason alitangazwa kuwa Kocha wa muda wa Spurs mpaka mwisho wa msimu baada ya Jose Mourinho kutimuliwa.

Kwa sasa ndiye Kocha wa muda wa Klabu ya Tottenham Hotspur. Wakati alipokuwa anacheza soka alipitia timu zote za vijana pale Spurs na mchezo wake wa kwanza kwenye timu ya wakubwa kucheza ilikua mnamo mwaka 2008.
Akiwa na umri wa miaka 29 na siku 313, amekuwa Kocha mwenye umri mdogo kuchukua nafasi hiyo kuiongoza Spurs ndani ya Ligi Kuu Uingereza.

Mchezo wake wa kwanza, akiwa Kocha ameiongoza Tottenham kupata ushindi dhidi ya Southampton wakiwa nyumbani 2️⃣-1️⃣, ilikua Aprili 21
Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.



Adelta
Mwanzo mzuri atafanya mengi zaidi
aisha
Naona mambo mazuli kutoka kwake
Lydia Emmanuel Magoti
Duuuh noma
Magdalena
Safiiii
Khadija
Nice
warda
Hongera yake