Mshambuliaji wa Juventus, cristiano Ronaldo amemwambia wakala wake Jorge Mendez kuanza kuongea na klabu yake ya zamani ya Manchester United.
Hapo kabla Manchester United ilifanya mawasiliano na wakala huyo lakini mazungungumzo hayo yaligonga mwamba kutokana na Ronaldo kutoridhia jambo hilo.

Jorge Mendes, anadai kwamba mshindi huyo mara tano wa Ballon d’Or anaweza kuondoka ka Juventus kwa pauni milioni 26 tu ($ 36m) msimu huu wa joto.
Taarifa za awali zimeripoti kuwa Ronaldo atakuwa tayari kupunguza mshahara wake ili aweze kurejea Old Traford kama alivyokuwa mwanzo kabla ya kutimkia Real Madrid.
Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.



neema hassan
Asante kwa makala
Adelta
Ronald yuko sahii
aisha
Sio jambo baya
Lydia Emmanuel Magoti
Jambo zuri
Saupha
Jambo zurii
Magdalena
Safi sana
Khadija
Safi sana
warda
Itakuwa poa