CHAN Kurejea Leo na Robo Fainali.


Leo Jumamosi michezo ya Robo fainali ya michuano ya CHAN itaanza kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini Cameroon.

Timu nane za Cameroon, DR Congo, Congo, Mali, Rwanda Zambia, Morocco, Zambia, Morocco na Guinea ndizo zimefuzu kucheza hatua hiyo mwaka huu.

 

Mchezo wa mapema leo utakua saa 11:00 ambapo Mali na Congo zitakutana kutafuta mshindi atakayefuzu nusu fainali.

Saa 2:00 usiku kwenye kunatarajiwa kupigwa mchezo wa kukata na shoka ambao utawakutanisha DR Congo na wenyeji Cameroon.

Michezo mingine miwili ya robo fainali ya CHAN itachezwa kesho Jumapili ambapo saa 11:00 jioni Morocco watakuwa wakicheza na Zambia na mchezo mwingine utapigwa saa 2:00 usiku kati ya Guinea na Rwanda.

 


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

13 Komentara

    Kumekucha

    Jibu

    Mambo yanazidi kupamba Moto

    Jibu

    Mambo ni 🔥🔥

    Jibu

    Hatarii

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa chan

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Mambo mazuri hayo

    Jibu

    Haya waendelee tu

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe