VPL: Simba na Namungo Kuendelea Walipoishia.

Kuelekea muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL], baadhi ya timu zilizokuwa na michezo pungufu kuanza safari yao mapema.

Simba SC na Namungo zinamichezo pungufu, hii ni kutokana na ushiriki wa timu hizi kwenye mashindano ya Caf Champions League sambamba na Caf Confederation Cup.

Taarifa rasmi kutoka bodi ya Ligi [TPLB], imetangaza tarehe ambazo timu hizi zitacheza baadhi ya michezo yao waliyonayo mikononi.

Februari 4, Simba SC watachuana na Dodoma Jiji katika dimba la Jamhuri, Dodoma. Siku hiyo hiyo, Namungo watapambana na KMC FC katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Februari 7, Namungo watawakaribisha Ruvu Shooting FC pale Majaliwa Stadium. Wakati huohuo, mabingwa watetezi wa VPL – Simba SC watapambana uso kwa uso na Azam FC katika uwanja wa Benjamin William Mkapa.

“Mechi zilizosalia ikijumuisha Namungo dhidi ya Gwambina na Simba SC dhidi ya Namungo, zitatolewa taarifa baadae.” iliripoti bodi ya Ligi [TPLB].


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

14 Komentara

    Afadhali tulikuwa tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Mashabiki tunasubiri tuone

    Jibu

    Mashabiki tunasubili kwa hamu

    Jibu

    Yetu macho

    Jibu

    Mashabiki tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Tunasubiri tuone

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Mechi itakuwa na ushindani mkubwa

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Tunasubili tuone

    Jibu

    Fresh

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Azam wametuaribia pozi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.